Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba msaanii maarufu wa miondoko ya kufoka foka (hiphop) Geez Mabovu amefariki dunia huko mkoani Iringa,Baba mdogo wa marehemu amethibitisha kutokea kwa kifo chake .Tutakuletea updates zaidi
Post a Comment