Header Ads

Ukweli Kuhusu: Flaviana Matata Kuchumbiwa

Flavy ameshare habari hiyo njema kwenye mtandao wa Instagram kwa kuweka picha inayoonesha kidole chake cha chanda ambacho
kimevishwa pete ya uchumba. “I said YES,” aliandika Flavy kwenye picha hiyo.

Mwanzilishi wa label ya Def Jam Records, Russell Simmons aka Uncle Rush ni miongoni mwa watu
waliompongeza Flaviana.

“Congratulations to @flavianamatata. Engaged. Pay
close attention to the ring fellas u blew it. My Lil daughter supermodel ms Tanzania is off the
market lol,” ameandika Russell.

No comments

Powered by Blogger.