Header Ads

Picha: Mazishi ya Msanii Geez Mabovu - Iringa Leo

Mazishi ya msanii Geez Mabovu ambaye alikuwa maarufu kwenye muziki wa Hiphop Tanzania, yamefanyika leo nyumbani kwao
Iringa katika makaburi ya Mlolo.

Mabovu amefariki dunia kwenye hospitali alikokua amelazwa nyumbani kwao Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita kutokea Dar es salaam akisumbuliwa na maradhi ya kifua.

Ndugu, jamaa, marafiki, wasanii na watu mbalimbali wamejitokeza kushiriki katika mazishi hayo.

Hizi ni baadhi ya picha za mazishi ya msanii huyo.

No comments

Powered by Blogger.