Header Ads

Chid Benz Atinga Tena Mahakamani, Kesi Yake Yaahirishwa hadi Disemba 1

Rapper Rashid Abdallah Makwiro aka Chid Benz ambaye yupo nje kwa dhamana kufuatia kukamatwa na dawa za kulevya uwanja wa ndege
Dar es salaam leo Nov 11 2014 alikwenda tena kwenye Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu Dar
es Salaam.

Taarifa kutoka mahakamani hapo zinaarifu kwa, upande wa Jamhuri umeomba kesi ya msanii huyo iahirishwe mpaka December 1 2014 kwa kuwa upelelezi bado haujakamilika.

No comments

Powered by Blogger.