Header Ads

PICHA: UZI MPYA WA MAN CITY, UTAPIGIWA UGENINI, KAMA WA MBEYA CITY

 Mabingwa wa England, Manchester City wamezianika jezi zao mpya ambazo zitakuwa na rangi ya zambarau.


Jezi zenye rangi hiyo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara zinatumiwa na wababe wa Nyanda za Juu Kusini, Mbeya City ambao msimu uliopita walishika nafasi ya tatu.
Man City watakuwa wanazitumia jezi hizo katika mechi za ugenini huku nyumbani wakiendelea kung’ara na uzi wao wa bluu bahari.




No comments

Powered by Blogger.