MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA TATU WA AFRIKA KUHUSU MASUALA YA USIMAMIZI WA KODI
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi mkutano mkuu wa tatu wa Afrika kuhusu
masuala ya usimamizi wakodi uliofanyika kwenye Hoteli ya Double Tree,
jijini Dar es Salaam, leo Septemba 16, 2014.
Naibu
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, akizungumza kabla ya kumkaribisha
mgeni rasmi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, kufungua rasmi mkutano mkuu wa tatu wa Afrika
kuhusu masuala ya usimamizi wakodi uliofanyika kwenye Hoteli ya Double
Tree, jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
(katikati) Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba (wa pili kulia) wakiwa
meza kuu na baadhi ya viongozi wa TRA wakati wa ufunguzi wa mkutano
mkuu wa tatu wa Afrika kuhusu masuala ya usimamizi wakodi uliofanyika
kwenye Hoteli ya Double Tree, jijini Dar es Salaam, leo.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika,
waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akitoa hotuba
yake ya ufunguzi wa mkutano huo, uliofanyika kwenye Hoteli ya Double
Tree, jijini Dar es Salaam, leo.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika,
waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akitoa hotuba
yake ya ufunguzi wa mkutano huo, uliofanyika kwenye Hoteli ya Double
Tree, jijini Dar es Salaam, leo.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika,
waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akitoa hotuba
yake ya ufunguzi wa mkutano huo, uliofanyika kwenye Hoteli ya Double
Tree, jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa TRA, baada ya
kufungua mkutano mkuu wa wa tatu wa Afrika kuhusu masuala ya usimamizi
wakodi uliofanyika kwenye Hoteli ya Double Tree, jijini Dar es Salaam,
leo.
SOURCE: DJ SEK
Van Gaal: United inalenga taji la EPL
Kocha wa
Manchester United Louis van Gaal amesema kuwa anapania kuirejesha kombe
la ligi kuu ya Uingereza uwanjani Old Trafford.
Kocha huyo alizungumza punde baada ya Man United kusajili ushindi wake wa kwanza msimu huu .United iliilaza QPR 4-0 uwanjani Old Trafford jumapili.
''Sasa nataka kurejesha taji la EPL: hapa Old Trafford ikiwa sio msimu huu basi katika mwaka wangu wa pili ama wa tatu.''
''Isitoshe nataka mashabiki wetu washuhudie mechi z ligi kuu ya mabingwa barani Ulaya.''
Van Gaal, amewahi kushinda mataji ya ligi katika misimu yake ya kwanza akiwa Barcelona na Bayern Munich,na sasa ameagizwa kumaliza katika nafasi tatu za kwanza na mkurugenzi mkuu wa klabu hiyo Ed Woodward.
Baada ya kufunga mara mbili pekee katika mechi nne za kwanza vijana wa Van Gaal, wakiongozwa na Angel Di Maria na Ander Herrera , walisajili mabao yao ya kwanza tangu watue Old trafford .
Mabao mengine ya United yalitiwa kimiani na Wayne Rooney na Juan Mata .
Van Gaal ameomba uwezo wake utathminiwe kwa jinsi atakavyo maliza msimu huu wala sio atashinda nini.
Manchester United imeratibiwa kuchuana na Leicester jumapili ijayo.

Post a Comment