Header Ads

KESI YA SHEIKH PONDA YAHAHIRISHWA KWA MARA NYINGINE TENA



KESI inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania , Sheikh Issa Ponda ya kufanya mkutano wa hadhara mjini Morogoro , imeahirishwa hadi Septemba 10 mwaka huu , itakaposikilizwa katika Mahakama Kuu . Kesi hiyo imeahirishwa baada ya upande wa utetezi
kuomba kesi hiyo iliyoko Morogoro ihamishiwe katika Mahakama Kuu ya Tanzania badala ya kusikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar.

No comments

Powered by Blogger.