CHEKI BUNDUKI ZA ARSENE WENGER DHIDI YA MANCHESTER CITY WIKIENDI HII
ARSENE
Wenger kesho anawakabili mabingwa watetezi wa ligi kuu soka nchini
England, Manchester City katika mchezo wa ligi kuu uwanja wa Emirates.
Baada ya kumsajili Danny Welbeck, je, kikosi kitakakuwa kama inavyoonekana pichani juu?
Kuna majeruhi wachache waliojitokeza kwenye mechi za kimataifa ambao ni Aaron Ramsey, Mikel Arteta na Mesut Ozil.
Lakini inaonekana Wenger ana chaguo kubwa la wachezaji na wataweza kumsaidia katika mechi ya kesho.
Arsene Wenger ana wachezaji wengi wanaoweza kumsaidia kwenye mechi dhidi ya Manchester City kesho jumamosi.
| RATIBA HII HAPA | |||
|
| |||
Post a Comment