UWANJA WA TAIFA DAKIKA YA 28 KIPINDI CHA PILI, SIMBA SC 0 v 1 URA..NGOMA BADO NZITO KWA PHIRI
Wakali wa Phiri bado hawajapata bao
KWA wale wenye hamu ya kujua matokeo ya
mechi ya kimatifa ya Kirafiki baina ya Simba na URA inayoendelea uwanja
wa Taifa jijini Dar es salaam, matokeo ni kwamba Simba wapo nyuma kwa
1-0 na hivi sasa ni dakika ya 28 kipindi cha Pili.
Matokeo ya dakika 90 tutawajuza.
Post a Comment