Kuna habari mpya zinazosema kuwa kuna uwezekano shindano la Big Brother Africa ‘Hot Shots’ likahamishiwa jijini London, Uingereza baada ya nyumba ya Afrika Kusini iliyokuwa imeandaliwa kwaajili ya msimu wa tisa kuungua... Taaria hiyo ambayo ahaijathibitishwa imetolewa kupitia ukurasa rasimi wa facebook wa Big Brother Africa 'Hot Shots' inadaiwa kuwa kuna uwezekano wa Big Brother Africa Hot Shots ikatumia nyumba inayo tumiwa na Big Brother ya Uingereza Celebrity Big Brother UK' (CBBU), ambayao fainali yake inafanyika kesho Ijumaa. Inasemekana tarehe mpya ya uzinduzi wa Hot Shots imepangwa kuwa ni September 21 baada ya Big Brother UK kumalizika. Hivi ndivyo taarifa ilivyoandikwa kupitia ukurasa wa facebook Big Brother Hot Shots
Post a Comment