Aliyekuwa Rais wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steve Nyerere.
Rais
wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere 'Steve Nyerere'
ametangaza kujiuzulu cheo hicho kupitia ukurasa wake wa instagram.
Amedai kuna mpango mbaya dhidi yake hivyo
akaona bora ajiengue pasipo
kufafanua zaidi.
Post a Comment