Gwiji wa Manchester United, Sir Bobby Charlton akimkabidhi zawadi, beki wa zamani wa klabu hiyo, Rio Ferdinand, aliyechezea timu hiyo kwa miaka 12 kabla ya kuhamia QPR msimu huu. Tukio hili lilifanyika kabla ya mechi ambayo Man United ilishinda 4-0.
Post a Comment