INATISHAA!!: MTU MMOJA AJINYONGA JUU YA MTI, POLISI WAAMURU MWILI UZIKWE, WANANCHI WASHINDWA KUMTAMBUA - ILEMELA MWANZA

Mwanaume mmoja makzi wa Kiseke, Ilemela Mwanza amekutwa amekufa baada ya kujinyonga kwa kamba ya katani juu ya mti, huku mwili wake ukiwa umeharibika vibaya ukivuja maji.
Inakadiriwa kuwa mtu huyo alijinyonga siku tatu zilizopita na chanzo cha kifo hicho bado haijafahmika, kutokana na marehemu kutoacha ujumbe wowote, Huku wakazi wa eneo hilo kushindwa kuumtambua mwili huo.
Kutokana na hali hiyo, Jeshi la polisi liliamuru mwili uzikwe baaadaya cha uchunguzi wa awali wa Daktari aliyekuwepo eneo hilo, Hata hivyo jeshi la polisi linaendelea na upelelezi zaidi wa tukio hilo ili kubaini chanzo.

PICHA ZAIDI HAPA...!!!




Post a Comment