MAYWEATHER AMZIDI UZITO MAIDANA KUELEKEA PAMBANO LA LAO LA KIHISTORIA LEO LAS VEGAS
BONDIA
Floyd Mayweather amemzidi nusu kilo Marcos Maidana wakati wa kupima
uzito kuelekea pambano la usiku wa leo mjini Las Vegas.
Mkali
huyo wa kutupa mikono kwa kasi pia anapungua nusu kilo kutimia uzito
kamili wa paundi 147 wa mataji ya Welter na Light Middle.
Mayweather
atapambana na mbabe wa Argentina ukumbi wa MGM Grand Garden Arena usiku
wa leo, katika pambano la marudiano baada ya Mei kushinda kwa utata.
Nakudunda
tena; Floyd Mayweather na Marcos Maidana wakitazamana wakati wa kupima
uzito mjini Las Vegas katika ukumbi wa MGM Grand
Safari
hii nakupiga; Floyd Mayweather na Marcos Maidana wakiwa wameshikilia
mkanda wa WBC wakati wa kupima uzito MGM Grand Garden Arena
Floyd Mayweather wakati akipima uzito Las Vegas leo
Marcos Maidana wakatiakipima uzito

Post a Comment