Header Ads

MATUKIO BUNGE LA KATIBA LEO - MJINI DODOMA

PG4A5083 
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba,  Samuel Sitta akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephene Wasira (kulia), Bungeni mjini Dodoma Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A5091 
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru akichangia bungeni mjini Dodoma
Septemba 11, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.