Jaguar ahimiza kupima ukimwi
Msanii
wa muziki mwenye mafanikio makubwa kutoka nchini Kenya, Jaguar
amewataka mashabiki wake kuchukua hatua za kupambana na ugonjwa wa
Ukimwi, kwa kupima afya zao ili kujua hali zao.
msanii wa nchini Kenya Jaguar
Jaguar
ambaye kwa sasa anafanya vizuri na rekodi yake inayokwenda kwa jina One
Centimetre, binafsi ameonyesha mfano kwa kuanza kupima afya yake na
kuweka majibu yake hadharani kupitia picha aliyoweka mtandaoni.
Kitendo cha msanii huyu kimetafsiriwa kwa namna tofauti huku asilimia kubwa ikimchukulia kama shujaa anayeiwazia mema jamii na maelfu ya mashabiki ambao wanamfahamu na kumfuatilia.
Kitendo cha msanii huyu kimetafsiriwa kwa namna tofauti huku asilimia kubwa ikimchukulia kama shujaa anayeiwazia mema jamii na maelfu ya mashabiki ambao wanamfahamu na kumfuatilia.
Post a Comment