Header Ads

HII NOMA! MASHABIKI ARGENTINA WAVAMIA UWANJANI, WAMCHOJOA MCHEZAJI JEZI, BUKTA

 Mchezaji mmoja wa Deportivo Italianoya Argentina alijikuta kwenye wakati mgumu sana baada ya mashabiki kuvamia katikati ya mechi, wakamvua nguo na kuondoka zake.

Huku akiwa hana la kufanya, kiungo huyo Elias Di Biasi wa Deportivo Italiano alivuliwa buta na baadaye jezi, halafu mashabiki hao wakorofi wakaondoka zao uwanjani hapo.
Mashabiki hao watatu mara baada ya kumvua waliondoka taratibu na kwenda upande wa mashabiki wengine wakorofi ambao isingekuwa lahisi kuwavaa badala yake ingesababisha vurugu kubwa.

No comments

Powered by Blogger.