Chris Brown amedai aliamua kuachana na bifu na Drake kwakuwa hakutaka
kuendelea na maisha ya uadui tena. Hivi karibuni Drake na Chris walionekana
pamoja studio na pia kurekodi skit wakati wa tuzo za ESPY. Akiongea na MTV
News, msanii huyo amedai kuwa kama angekuwa hajaikamilisha album yake, X
itakayotoka Jumanne ijayo, kungekuwa na Wimbo alio mshirikisha Drake "Kama Albam yangu ingekuwa haijakamilika, ingeweza kutokea.... kufanya kazi kwenye muziki ni kitu ambacho tutaendelea kufanya itokee"
Alisema Chris uwezekano wa Collabo na Drake
SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment