| msikiti wa
mtambani umeungua tena katika kipindi kifupi kwa mara ya pili moto huo
ulianzia kwenye chumba cha stoo cha darasa la wanafunzi wa kidato cha
nne ambao wenyewe hawapo wameondoka jana kwa mujibu wa katibu wa msikiti
wa mtambani shekh Abdallah Mohamed asema kulikuwa na fundi umeme
anatengeneza waya za umeme katika harakati za kufanya wayaringi wakati
huo waumini walikuwa wanajianda katika sal;a ya Ijumaa leo gafla tukaona
moshi umetanda kwenye bweni la wanafunzi katika ghorofa ya kwanza
picha ni matukio mbalimbali leo |
Post a Comment