RASMI--MATOKEO YA BAVICHA,VIONGOZI WAPYA HAWA HAPA

1. Matokeo ya awali yalikuwa..
Upendo 68
Patrobas 61
Daniel 54
Nanyaro 21
Kwa mujibu wa kanuni. kura zikapigwe upya kati ya Upendo na Patrobas, matokeo ya mwisho yakawa..
Patrobas 173
Upendo 70
2. Makam mwenyekiti znz
shaban omary 111
3. Makam m/kit bara
patric sosopi 128
Jesca kishoha 110
Kwa mujibu wa matokeo
hayo hapo ni kwamba PATROBAS PASCAL ametangazwa kuwa mwenyekiti mpya wa
BAVICHA akichukua nafasi ya JOHN HECHE,huku makamu mwenyekiti bara ni
ZEUD ABDALA na makamu mwenyekiti zanzibar ni PATRIC SOSOPI.leo ni
uchaguzi wa BAWACHA
Post a Comment