PICHA: TAMASHA LA FIESTA 2014 TABORA WASAMBAZA UPENDO HIVI
Msanii
mwingine anaekuja vyema kwenye anga ya muziki wa Bongofleva aitwaye
Kadja ambaye anatamba na wimbo wake wa Maumivu niache akiimba pamoja na
Linah.
Mkali wa Bongo Hip Hop Farid Kubanda a.k.a Fid Q akikamua vilivyo juu ya jukwaa na la Fiesta.…
Msanii
mwingine anaekuja vyema kwenye anga ya muziki wa Bongofleva aitwaye
Kadja ambaye anatamba na wimbo wake wa Maumivu niache akiimba pamoja na
Linah.
Msanii
wa Bongofleva,Kadja akiimba wimbo wake wa Maumivu niache mbele ya
maelfu ya wakazi wa Tabora (hawapo pichani) waliofika kwenye tamasha la
Fiesta usiku wa kuamkia leo.
Palikuwa hapatoshi usiku wa kuamkia leo ndani ya uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mjini Tabora,ambapo tamasha la Fiesta lilirindima.
Sehemu ya umati mkubwa wa watu waliofika kulishuhudia tamasha la Fiesta lililofanyika usiku wa
kuamkia leo ndani ya uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mjini Tabora.PICHA NA MICHUZI JR-TABORA
kuamkia leo ndani ya uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mjini Tabora.PICHA NA MICHUZI JR-TABORA
Post a Comment