Header Ads

NEW SONG: JUX - SISIKII

10670099_825193774177591_597196409232706159_nMiongoni mwa mastar wa Tanzania wanaofanya Bongo Fleva ambao wana mashabiki wengi wa kike ni pamoja na Jux inawezekana labda aina ya muziki anaoufanya kuwagusa wasichana wengi.
10613078_823236544373314_5277052851661427969_n

Zimesikika zingle zake kadhaa ikiwemo Napata Raha,Nitasubiri ,Uzuri wako na hii iko kwenye list
ya single zake ambazo amesema anategemea zitafanya vizuri zaidi,Jux pia ni mmoja kati ya wanaounda kundi la Wakacha akiwepo na Cyril.

Bonyeza play kusikiliza.

No comments

Powered by Blogger.