Captain John Bocco ameanza mazoezi kidogo kidogo katika Gym ya kisasa ya Azam FC hapa Chamazi - Azam Complex, Captain anaendelea vizuri na jeraha lake alilolipata Kigali Rwanda akiitumikia timu yake ya Azam FC. Hii ni leo asubuhi!
Post a Comment