AY kung'aa kimataifa tena
Msanii
wa muziki AY, ametangaza ujio wa kazi yake mpya ya kimataifa hivi
karibuni, akiwa amemshirikisha msanii Miss Trinity pamoja na Lamyia.
Msanii huyu vilevile anatarajiwa kutoka na kazi ambayo amefanya na
msanii wa kimataifa Sean Kingston, kazi ambayo inangojewa kwa hamu kubwa
sana na mashabiki wake ndani na nnje ya tanzania.
Post a Comment