PICHA: YANGA SC NA KMKM JANA ZANZIBAR
![]() |
Mshambuliaji
wa Yanga SC, Geilson Santana 'Jaja' kushoto akiwania mpira dhidi ya beki wa KMKM katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Amaan, Zanzibar usiku wa jana. Yanga SC ilishinda 2-0. |
![]() |
Winga wa Yanga SC, Abdrey Coutinho kushoto akitafuta mbinu za kumtoka beki wa KMKM |
![]() |
Kiungo wa Yanga SC, Hassan Dilunga akimtoka beki wa KMKM |
![]() |
Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima kulia akiwatoka mabeki wa KMKM |
![]() |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa akimtoka beki wa KMKM |
![]() |
Winga wa Yanga SC, Simon Msuva kushoto akimtoka beki wa KMKM |
![]() |
Kocha wa Yanga SC, Marcio Maximo kushoto akizungumza na kiungo Nizar Khalfan kumpa maelekezo kabla ya kuingia kipindi cha pili |
![]() | |
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya klabu ya Yanga SC, Mama Fatma Karume alikuwepo jana Uwanja wa Amaan kuishuhudia timu yake |
Post a Comment