Header Ads

UZAZI WASABABISHA VIFO!

#HOTMIX (11:00 Jioni) UZAZI WASABABISHA VIFO!

Watoto wachanga 144 hufariki dunia kila siku wakati mama mjamzito mmoja hufariki kila baada ya saa moja kutokana matatizo ya uzazi huku mkoa wa Rukwa ukiongoza kwa wajawazito wengi kukosa elimu juu ya faida za kujifungulia hospitalini,

Una lipi la kusema juu ya hali hii ya kusikitisha?
Watoto wachanga 144 hufariki dunia kila siku wakati mama mjamzito mmoja hufariki kila baada ya saa moja kutokana matatizo ya uzazi huku mkoa wa Rukwa ukiongoza kwa wajawazito wengi kukosa elimu juu ya faida za kujifungulia hospitalini.

No comments

Powered by Blogger.