Raia wema wanauwawa Kenya kuliko hata Majambazi wenyewe.
Kuna hii ripoti mpya ya utafiti uliofanywa Kenya na Medico legal unit ambalo ni shirika la kijamii linaloonyesha wasiwasi wake kutokana na mashambulizi mengi yanayofanywa kwa raia wasio na hatia.
Wanasema kwenye huo utafiti, wamegindua raia masikini wasio na hatia
wamekua wakiuwawa kwa risasi na polisi kwa kasi ya zaidi ya wanavyouwawa Majambazi.
Wanakwambia ni watu 160 ambao walipigwa risasi na Polisi kuanzia January – July 2014 na kwamba asilimia 60 ya miili 1863 iliyopelekwa chumba cha kuhifadhi maiti ilikua na majeraha ya risasi.
SOURCE: MILLARDAYO
Post a Comment