Header Ads

Baada ya Majanga, Nimevurugwa na ushaharibu…. Snura katuletea hii


Ni time nyingine tena ya mkali wa mauno Snura ambae alishawahi kuingia kwenye headlines ikiwemo nyimbo zake kutolewa na BASATA kushiriki kwenye tuzo za KILI 2013/2014.
Single zilizompa uzito kwenye jina lake ni pamoja na Majanga, ushaharibu na nimevurugwa lakini leo hii ametuletea hii mpya, ni official single ya nne inaitwa Jidabue.

DOWNLOAD HAPA
 http://www.hulkshare.com/millard_ayo_/snura-mwaga-radhii

No comments

Powered by Blogger.