MTOTO AFARIKIA BAADA KUGONGWA NA GARI MBEYA
Mtoto mwenye umri wa
miaka 09 aliyefahamika
kwa jina la Nelly Alick
mkazi wa Mlolo amefariki
muda dunia muda mfupi
wakati anapatiwa
matibabu katika hospitali
ya wilaya ya Mbozi baada
ya kugongwa na
gari lenye namba za usajili T.257 CRP aina ya Toyota Noah lililokuwa likiendeshwa na Lameck Madihan (34) mkazi wa Mlolo. Ajali hiyo imetokea jana majira ya saa 09:30 alasiri huko maeneo ya Karasha, kata na tarafa ya Vwawa, wilaya ya Mbozi, mkoa wa Mbeya katika barabara ya Mbeya/Tunduma. Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi. Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya wilaya Mbozi. Dereva amekamatwa na gari lipo kituoni. Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi Ahmed Z. Msangi anatoa wito kwa madereva kuwa makini wanapotumia vyombo vya moto ili kuepuka ajali zinazoweza kuepukika. Aidha, anatoa wito kwa watembea kwa miguu kuwa makini wanapotumia barabara ili kuepuka madhara yanayoweza kuepukika.

Post a Comment