Wanawake wataka umuhimu wa uwepo wa masuala ya jinsia katika Katiba
Mwenyekiti
wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Anna Abdallah
akifungua Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao
wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala
ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa
Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Katibu
wa Umoja wa Wanawake Wabunge Tanzania (TWPG), Mhe. Angellah Kairuki
(MB) akizungumzia masuala mbalimbali ya kijinsia katika Semina
iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na
Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na
Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius
Msekwa Mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Bi. Usu Mallya akitoa mada kuhusiana
na suala la kijinsia katika Katiba, wakati wa Semina iliyoandaliwa na
Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya
Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika
leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Mtandao wa Wanawake na Katiba, Profesa Ruth Meena akitoa mada juu ya
masuala muhimu ya Jinsia ya kuzingatiwa katika Katiba Mpya wakati wa
Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa
Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya
Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa
Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Mtandao wa Wanawake na Katiba Bi. Stella Gailos akitoa mada akitoa
mada juu ya masuala muhimu ya Jinsia ya kuzingatiwa katika Katiba Mpya
wakati wa Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao
wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala
ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa
Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Makamu
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia)
akifafanua juu ya masuala mbalimbali ya kijinsia wakati Semina
iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na
Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na
Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius
Msekwa Mjini Dodoma.
Waziri
wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Sophia Simba akichangia
mada wakati Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na
Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu
masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye
Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Hamad Rashid akifafanua jambo wakati
Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa
Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya
Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa
Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Fami Dovutwa akifafanua jambo wakati
Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa
Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya
Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa
Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba wa Kundi la 201 upande wa Wakulima, Mhe.
Agnes Senyagwa akizungumzia kuhusu utoaji elimu kwaajili ya kuongeza
nafasi za uwakilishi wa wanawake katika ngazi mbalimbali maeneo ya
vijijini, wakati Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na
Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu
masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye
Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Faustina Urassa akifafanua jambo wakati
Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa
Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya
Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa
Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia Semina iliyoandaliwa na Umoja
huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya
Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika
leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba wakifuatilia Semina iliyoandaliwa na Umoja
huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya
Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika
leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Viongozi
wa Meza Kuu wakiiimba kwa pamoja wimbo wa kuhamasisha wanawake
kupigania haki zao wakati wa Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa
kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa
Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30
Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Wajumbe
wakiiimba kwa pamoja wimbo wa kuhamasisha wanawake kupigania haki zao
wakati wa Semina iliyoandaliwa na Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao
wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala
ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa
Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (MB) akitoa neno la
sukrani kwa watoa mada na wajumbe wa Semina iliyoandaliwa na Umoja huo
kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe wa
Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30
Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Anna Abdallah
(kulia) akifanya mahojiano na Mwandishi wa Habari wa Shirika la Habari
Tanzania (TBC) mara baada ya kumalizika kwa na Semina iliyoandaliwa na
Umoja huo kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya
Wajumbe wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika
leo 30 Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
Picha
ya pamoja ya baadhi ya Wajumbe wa Semina hiyo iliyoandaliwa na Umoja huo
kwa kushirikiana na Mtandao wa Wanawake na Katiba kwaajili ya Wajumbe
wa Bunge Maalum kuhusu masuala ya Jinsia na Katiba iliyofanyika leo 30
Agosti, 2014 kwenye Ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa Mjini Dodoma.
(Picha zote na Benedict Liwenga, Dodoma).
Post a Comment