Ney wa Mitego na Madee Walikuwa Paka na Panya, Sasa Marafiki Wakubwa
Ilisemekana kama mwaka moja uliopita
wasanii wa Bongo Flava, Nay Wa Mitego na Madee walikuwa na ‘bifu’ kubwa
na ilichochewa na mitandao ya kijamii na vyombo vya habari.
Tatizo kati yao lilikuwa ubabe wa nani
anaibeba Manzese na nani ndiye Rais wa Manzese wakati Madee akijiita
Rais na Nay akawa akisema hakuna Rais huko Manzese. Siku zilivyo zidi
kwenda walionekana kwenye show tofauti wakiwa pamoja na kupiga show
kwenye jukwaa moja bila tatizo. Interviews kwenye radio kuhusu ugomvi
wao zilipungua na picha zao wakiwa pamoja zikasambaa, Kwa sasa hawa
jamaa ni marafiki wa karibu sana Hata Lift Wanapeana bana.
Post a Comment