Header Ads

HII NI DAR TENA KWENYE WILAYA INAYOONGOZA KULIPA KODI TRA,WATOTO KWENYE VUMBI

Wanafunzi 140 wa darasa la tatu wa Shule ya Msingi Tandale Magharibi wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakiwa wameketi chini wakiandika kazi, waliyopewa na mwalimu wao .

Wanafunzi wa darasa la tatu wa Shule ya Msingi Tandale Magharibi wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakiandika kutoka ubaoni  kazi waliyopewa na mwalimu wao. (Picha ZOTE na Victor  Berege)

No comments

Powered by Blogger.