BALOZI WA UHOLANZI AZUNGUMZA NA RAIS DK.SHEIN
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo leo.[Picha na
Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akifuatana na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks
alipofika Ikulu Mjini Zanzibar baada ya mazungumzo leo.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Post a Comment