Header Ads

Nuh Mziwanda Aachia Picha wakiwa Watupu na Shilole

Kupitia Account yake ya Instagram Nuh Mziwanda amepost picha hiyo akiwa na mpenzi wake Shilole
"Shishi Baby" wakiwa bafuni huku Shilole akionekana amekenua "Kufurahi".

Picha hii imeleta mtazamo tofauti kwa baadhi ya mashabiki wao huku wengine wakifurahia na
wengine kuonesha kukerwa na kitendo hicho.

No comments

Powered by Blogger.