Header Ads

Askari Polisi wapambana na Magaidi wenye Silaha za moto, JWTZ waingilia - Amboni Tanga


JWTZ walazimika kusaidia
Kuna taarifa nimezipata muda sio mrefu zinasema polisi wanarushiana risasi na watu
wanaosadikika kuwa ni magaidi....Inasemekana
walienda kumkomboa mwenzao aliyekamatwa na polisi.

Polisi watatu wamejeruhiwa na wameomba msaada toka JWTZ

Endelea kufuatilia mtandao huu kwa habari hivi punde.

Source; JAMIIFORUM

No comments

Powered by Blogger.