Header Ads

MBUNGE AUAWA KWA KIPIGWA RISASI KENYA

Mbunge wa jimbo la Kabete, George
Muchai  ameuawa kwa kupigwa risisi kwenye mji mkuu wa kenya Nairobi.

Taarifa za polisi zinasema kuwa mbunge huyo wa Kabete, eneo lililo nje kidogo ya mji wa Nairobi aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.

Aidha, Walinzi wake wawili,dereva pia nao wameuawa.

Polisi wanasema kuwa watu waliokuwa na silaha walilifuata gari la mbunge huyo kutoka eneo la Westlands kabla ya kulimiminia rasasi ndani ya mji wa Nairobi.

Bofya kusoma zaidi HAPA

No comments

Powered by Blogger.