Header Ads

MWILI WA ZLATAN IBRAHIMOVIC UNA MAJINA YA WATU 50 WENYE NJAA

Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic ameandika majina 50 mwilini mwake kupitia michoro ya tatuu.

Aidha, majina ya watu wenye matatizo ya njaa au chakula ambayo Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) linasaidia watu
milioni 805 na Zlatan ameamua kujichora hao 50 mwilini mwake.

Mshambuliaji huyo wa PGS ya Ufaransa, raia wa Ufaransa Sweden
amekuwa akiiunga mkono WFP kutokana na kazi hiyo ya kuwasaidia wenye matatizo ya
chakula cha kutosha.

No comments

Powered by Blogger.