Header Ads

VAN PERSIE APIGWA BAO NA TRAFIKI AKIELEKEA MAZOEZINI

Mshambuliaji wa Manchester United, Robin van Persie alisimamishwa na trafiki wa kike jana akiwa njiani kuelekea mazoezini.

Hata hivyo, Van Persie alirejea kwenye gari lake aina ya
Range Rover baada ya majadiliano mafupi na trafiki wa kike.

Aidha, Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 alikuwa mwenye bahati baada ya kutopewa adhabu yoyote.

No comments

Powered by Blogger.