Header Ads

Picha: Nyumba ya Jux ikiwa kwenye Hatua za Mwisho

Jux anafahamika kama miongoni mwa mastaa wa Tanzania wanaopiga pamba kali zaidi na kumiliki vidani vya thamani lakini hivi karibuni alidai kuwa amechoka na ndoto za kitoto na kwamba anafikiria mambo makubwa zaidi.

“Done with childish dreams on to bigger things #africanboy #inGoditrust #icantwait #soon,” aliandika Jux kwenye picha ya mjengo wa kifahari uliopo katika hatu za mwisho.

Akiongea na kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, Jux alidai kuwa ni kweli nyumba hiyo ni yake wake.

Aidha, Jux amesema miongoni mwa maswali asiyopendwa kuulizwa ni pamoja na ametumia kiasi gani kujenga nyumba hiyo na biashara ipiiliyompa fedha ya kujenga nyumba hiyo ya kifahari.

No comments

Powered by Blogger.