Header Ads

PICHA; RAIS WA WANAFUNZI CBE MBARONI KWA WIZI WA KUFOJI SAINI

Picha zilizopatikana mtandaoni zinamtaja mtuhumiwa aliyeko mikononi mwa askari polisi
kuwa ni Rais wa wanafunzi CBE ambaye alikutwa na shilingi milioni 16/= chumbani kwake, fedha
ambazo zinadaiwa kuwa ni za Serikali ya Wanafunzi (COBESSO) ikidaiwa alizipata kwa udanganyifu wa kutumia saini ya Dean of Students.

No comments

Powered by Blogger.