Header Ads

Ndege ya Jeshi Yawaka Moto Uwanja wa Ndege, Rubani Ajeruhiwa - Mwanza


Taarifa kutoka Mwanza Airport ni kuwa kuna ndege ya Jeshi imelipuka na kuteketea.

Rubani wa ndege hii, ndugu Peter Augustino kafanikiwa kuruka kwa parachuti na kunusurika ingawa inadaiwa kavunjika mguu na kukimbizwa hospitali.

Ni jet fighter, ilikua kwenye routine exercise za kila wiki, ambazo zilikuwa zinaruka mbili kwa formation.

Aidha, Wakati zina take-off moja ikaanza kuwaka moto nyuma na  Rubani alitoka kwa ejector seat, amepona

Hata hivyo, Ndege imeharibika vibaya.

Source; JamiiForum

No comments

Powered by Blogger.