Header Ads

Nikki Mbishi Atangaza Kuacha Muziki


Rapper Nikki Mbishi ameelezea uamuzi wake wa kuachana na muziki kutokana na kutokunufaika chochote na kwamba hawezi kuendelea kuwa mtumwa mwa
kiwanda cha muziki.

“I’m glad to say I’ve officially decided to quit music….Wishing all the best to the slaves and victims of Music industry,” ametweet rappe huyo.

Aidha, ameongeza kuwa “Nitaziachia tracks zangu zote ambazo hazijatoka for free then SITOINGIA TENA STUDIO kufanya wimbo(MUZIKI BASI).”

Hata hivyo, aliongeza kupitia ukurasa wake wa tweeter, “The Industry is designed to frustrate the cats with high degrees of talents and intelligence,

Ngwea,Langa,Geez mlale pema wanangu. I will remain as a music fan…and u guys need to find
me some hip hop heads to listen to…
asanteni,” ameongeza,

“Bora kuwa JAMBAZI kuliko
MWANAMUZIKI. Tusije kushikiana
bunduki bure maana milango ya
kutoka kimaisha ni mingi na muziki ni burudani na biashara sio vita. Industry full of stupid and Illiterate but rich and famous. Mpaka lini tutauza UNGA kwa kivuli cha kuwa WASANII?”

No comments

Powered by Blogger.