Header Ads

Picha; Mahmoud Abbas,Netanyahu waandamana

Mfalme wa Jordan na Rais wa Palestinian Mahmoud Abbas ni baadhi ya viongozi kutoka
Mashariki ya kati walioshiriki katika maandamo yaliyofanyika mjini Paris Ufaransa kulaani shambulio la kigaidi lililofanyika.

Aidha, Morocco haijawasilisha uwakilishi wa salam za rambi rambi kutokana na msimamo wake tofauti
na mwenendo wa Gazeti la Charlie Hebdo kutokana na vibonzo ambavyo vimekuwa vikichorwa hasa vile vinavyolenga masuala ya kidini.

Hata hivyo, Rais Hollande aliungana pia na Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu,katika Sinagogi la Grand kuomboleza kwaajili ya waathirika wane wa
shambulizi la kigaidi katika Supermarket .

Naye, Netanyahu alimshukuru mmiliki wa Supermarket iliyoshambuliwa Lassana Bathily kwa jitihada zake katika kuwaokoa mateka waliokuwa ndani ya jingo
hilo.

No comments

Powered by Blogger.