Header Ads

MCHEZO HATARI; TEKE LA NOBREGA KATIKA MIXED MARTIAL ART

Mbrazil Victor Nobrega amefanikiwa kushinda kushinda katika pambano la Mixed Martial Arts dhidi ya Philip Mulpeter wa Ireland.

Kutokana na ushindi huo Nobrega kutoka Brazil ameendelea kutetea taji lake lakini gumzo lilikuwa ni tege alilompiga Mulpeter.

Aidha, Teke la mbavu ambalo lilibadili kasi ya Mulpeter ambaye mwanzo alionekana kuongoza kwa muda mwingi.

Hata hivyo, mchezo huu wa ngumi na mateke kupigana kwenye cage,
lakini nao ni hatari sana.

No comments

Powered by Blogger.