Header Ads

PICHA: MBUNGE WA MBEYA MJINI MH. JOSEPH MBILINYI APATA AJALI KITONGA.

Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,Mh. Joseph Mbilinyi, kwenye picha baada ya kupata ajali mbaya na kunusurika kifo,ajali hiyo imetokea eneo la Mlima Kitonga Mkoani Iringa mchana wa jana.

kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa Mh. Mbilinyi alikuwa safarini akitokea Mkoani Mbeya kuelekea jijini Dar akiwa na jamaa zake Wanne katika gari hilo lenye namba za usajili T 148 BQE, katika ajali hiyo hakuna aliyepoteza maisha.


No comments

Powered by Blogger.