Header Ads

IBRAHIM MASOUD 'MAESTRO' AHAMIA E FM 93.7

Aliyekuwa Mtangazaji wa vipindi vya Michezo wa redio Clouds Dar es Salaam,Ibrahim Masoud 'Maestro' (pichani kushoto) amekamilisha usajili wake wa kujiunga na Kituo maarufu hivi sasa cha radio hapa jijini Dar es Salaam cha E FM 93.7.

Maestro ameungana na magwiji wengine katika utangazaji wa vipindi vya michezo nchini Maulid Kitenge na Omary Katanga ambao wapo katika radio hiyo inayokuja kwa kasi jijini.

No comments

Powered by Blogger.