Header Ads

Zitto Ajiunga Rasmi NaChama Kipya Cha ACT-Tanzania......Akabidhiwa KadiNamba 007194


Baada ya kuzinguliwa kwa muda mrefu na chama chake cha CHADEMA, aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Ruyagwa Kabwe sasa ameamua kujiunga rasmi na chama kipya cha siasa cha ACT-Tanzania ambapo jana Jumamosi ya Machi 21 alipokelewa rasmi na chama hicho na kukabidhiwa kadi yake yenye namba 007194.
Aidha, Hatua imekuja ikiwa ni siku moja tu baada ya Zitto kutangaza kuachia ubunge na kuandika barua rasmi ambapo sasa amekuwa mwanachama wa ACT-Tanzania.

No comments

Powered by Blogger.