Header Ads

SONGA KUACHIA 'JUU KWA JUU', JUMATATU 30 MWEZI HUU

Rapper Songa anatarajia kuachia single yake mpya "Juu kwa Juu" aliyomshirikisha Susuman
na kutengenezwa na producer Ray Technohama siku ya march 30 ambayo itakuwa ni jumatatu.

Kupitia katika ukirasa wake wa instagram, alituma picha ya wimbo huo na kuandika hivi "JUU KWA JUU by SONGA feat. SUSUMAN UTAKUWA HEWANI JUMATATU HII 30 MWEZI HUU, KAA TAYARI"

No comments

Powered by Blogger.