Header Ads

New Music: Linex Ft. Diamond Platnumz – Salima


Linex akimshirikisha Diamond Platnumz katika wimbo wake mpya “Salima” linex anaonekana
kutulia sana katika wimbo huu, kama kawaida yake ametumia lugha 3 ndani ya wimbo, amepanga
mashairi mazito yenye hisia hakika wimbo upo sawa, Producer Tuddy Thamasi.

Bofya hapa DOWNLOAD Mp3

No comments

Powered by Blogger.