Header Ads

KENDRICK LAMAR ATIKISA CHATI ZA BILLBOARD

Rapa Kendrick Lamar ametua kwenye sehemu ya kwanza kwenye chati za album za Bilboard 200 na album yake yake ya To Pimp a Butterfly .

Album ya Kendrick iliyopita good kid, m.A.A.d. city ilishika namba 2 kwenye wiki yake ya kwanza na kuuza kopi 241,000 na mpaka sasa imefikisha kopi milioni 1.4 duniani.

Rapa huyu kutoka mitaa ya Compton amefanikiwa kutoa album yake ya tatu mapema March 16,na kuuza kopi 363,000 kwenye wiki ya kwanza.

No comments

Powered by Blogger.